Nipeni tena Kalamu, Nisome

Kijiji chetu Kandokando. Nyumba na shule ni Mwendo. Njiani kusonga na Mwendo. Nipeni tena kalamu, Nisome. Juma,Ali kuweka ndoano. Ulaghai si wa Mfano. Ndoto zangu  mkingamo. Nipeni tena kalamu, Nisome Magufuli naye kanena. Elimu... Read more →

Maghufira ya Safira

Wakati tulipokuwa tunawahoji wasichana wa Magomeni na Azimio kule Temeke, walituambia kwamba wasichana wadogo wanajiingiza katika vitendo vya ngono katika umri mdogo na kupata mimba kwa sababu ya ‘tamaa.’ Naam, “ni tamaa tu. Wasichana... Read more →

Je, tatizo ni mtoto wa kike?

Juma lililopita, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo ya kuwa hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi. Wito huu wa Rais unaweza kuwa sehemu ya suluhisho la mimba kwa... Read more →

Unaogopa sauti yangu?

Kwani ni nani aliekuambia kua sauti yako inaweza kutusemea sote? Au ni unyororo wake unaokufanya ufikirie mimi ni mdhaifu? Unaogopa maumbile yangu? Unono wa kifua changu, na upana wa nyonga yangu? Hata kwa mtazamo naonekana shupavu, Ushujaa... Read more →

Tukomeshe ukatili huu dhidi ya wanawake

Mwanamke ni nguzo kubwa na muhimu sana katika maisha na maendeleo ya mtu binasfi, jamii na taifa kwa ujumla. Mwanamke ndio nguzo mama katika uzalishaji na ujenzi wa taifa katika kuongeza rasilimali watu na pato la taifa katika nyanja za uchumi... Read more →