Je, tatizo ni mtoto wa kike?

Juma lililopita, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo ya kuwa hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi. Wito huu wa Rais unaweza kuwa sehemu ya suluhisho la mimba kwa... Read more →

Hoja hujibiwa kwa hoja na si vioja!

Na Mwandishi wetu Ukumbi wa Bunge la Katiba Ijumaa iliyopita Juni 02 taifa lilishuhudia kitendo kingine ambacho kinatia doa katika mhimili wa uwakilishi wa wananchi, Bunge. Taifa liliweza kudhihirishiwa pasi shaka hoja ya uhitaji wa kuwa na... Read more →

The politics of succession within CCM

State House of Tanzania In commemorating 38 years of its existence, CCM’s Chairperson, President Kikwete used the occasion to touch on the subject of succession politics. He said that the party has many capable hands to replace him, and that... Read more →

The road to 2015

Hon. January Makamba The race to succeed President Kikwete come 2015 when he steps down after 10 years at the helm was long underway in his party, albeit unofficially. January Makamba, a rising young politician within the ruling party made headlines... Read more →

2014: Serikali za mitaa kutuacha kwenye mataa?

Kila mmoja anatazamia 2015, Uchaguzi mkuu baada ya miaka mitano, Mateso, misoto na mingi mivutano, 2014: SERIKALI ZA MITAA KUTUACHA KWENYE MATAA? Wakati muafaka unakaribia, Tukikosea kuchagua basi tumejiharibia, Tusidanganyike kwa kitimoto... Read more →

Tunataka kutawala ufuni pamoja tukiwa na hadhi zetu

Yaani kuna watu wanapenda sana kulalamika na kulaumu. Kila siku wao wanalalamika tu, wanakosoa tu, wanalaumu tu mpaka mwishowe wanakosa cha kukosoa. Siku wakipata la kusifia watasifia sifa zinazofanana na kukosoa. Bahati mbaya wanaokosolewa... Read more →