Tutafakari upya demokrasia ya mfumo wa vyama vingi!

Mwalimu Julius Nyerere Tanzania ilirithi mfumo wa vyama vingi toka kwa Wakoloni. Mwaka 1964, Serikali iliyokuwa ikiongozwa na chama cha TANU iliamua kupiga marufuku mfumo wa vyama vingi na kuamua kuwa Tanzania itakuwa ni nchi ya chama kimoja.... Read more →

Kuna hoja gani kwenye afya za wagombea?

Mgombea Urais, kupitia CCM Bw. John Magufuli Mikikimiki ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ilifunguliwa rasmi tarehe 25 Agust 2015. Mpaka sasa vyama vikuu hapa nchini ikiwa ni chama tawala CCM kwa upande mmoja na Chama cha Demkrasia... Read more →

Mwiba wa Bunge Maalumu sio UKAWA bali Maudhui ya Rasimu

Ukumbi wa Bunge la Katiba Wakati mchakato wa katiba unaanza kulikuwa na mvutano mkubwa sana juu ya ushiriki wa wanasiasa katika mchakato mzima. Lakini kwakuwa katiba ni jambo la kisiasa kwa maana kuwa inaweka misingi ya utawala wa nchi ilionekana... Read more →

Of mice and men

At the end of July, President Kikwete addressed the country in a speech which had a wide range of issues but one, perhaps inevitably was dominated by the ongoing process of writing a new constitution for this country. As he spoke about the recent... Read more →