Tutafakari upya demokrasia ya mfumo wa vyama vingi!

Mwalimu Julius Nyerere Tanzania ilirithi mfumo wa vyama vingi toka kwa Wakoloni. Mwaka 1964, Serikali iliyokuwa ikiongozwa na chama cha TANU iliamua kupiga marufuku mfumo wa vyama vingi na kuamua kuwa Tanzania itakuwa ni nchi ya chama kimoja.... Read more →

Kifo cha Bwana Ali na wa mazombie Zanzibar

Kama kufumbua na kufumbua Bwana Ali Juma Suleiman ametangulia mbele ya haki. La, bora niseme ametangulizwa mbele ya haki kwa kudhulumiwa na makundi ambayo yameshafanyia udhalimu mwingi wanachama wa chama kikuu cha upinzani The Civic United Front. Marehemu... Read more →

Ni nyumbu ama nzi wa kijani?

Sikumbuki vizuri tarehe, ama niseme sikumbuki kabisa tarehe japo nakumbuka tu ilikuwa mwezi Agosti mwishoni mwa miaka ya tisini, ambapo hali ya hewa ya mji wa Marangu ilikuwa ya baridi sana. Kwa sisi ambao tunaishi mikoa yenye joto jingi, Marangu... Read more →

Hoja hujibiwa kwa hoja na si vioja!

Na Mwandishi wetu Ukumbi wa Bunge la Katiba Ijumaa iliyopita Juni 02 taifa lilishuhudia kitendo kingine ambacho kinatia doa katika mhimili wa uwakilishi wa wananchi, Bunge. Taifa liliweza kudhihirishiwa pasi shaka hoja ya uhitaji wa kuwa na... Read more →

Mchakato wa Uchaguzi Mkuu na mianya ya kikatiba

Serikali iliporidhia hoja ya katiba mpya na kuanzisha rasmi mchakato huo kupitia sharia ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011, wadau mbalimbali walionyesha wasiwasi wao juu ya mchakato huo kutekwa na wanasiasa kwa maana ya ushiriki pamojan na... Read more →

Kuna hoja gani kwenye afya za wagombea?

Mgombea Urais, kupitia CCM Bw. John Magufuli Mikikimiki ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ilifunguliwa rasmi tarehe 25 Agust 2015. Mpaka sasa vyama vikuu hapa nchini ikiwa ni chama tawala CCM kwa upande mmoja na Chama cha Demkrasia... Read more →

Ninapojaribu kumdanganya shetani

Nawaandikia wale walioshitushwa na walichokiona. Waraka huu ni kwa wale waliovunjika moyo. Ni maalum kwa wale ambao hawaamini kwa kinachoendelea. Nawaonea huruma sana. Nakumbuka yale maneno maarufu, ‘msinililie mimi, balia lieni kwa ajili... Read more →

Tumeona ya futari, tusisubiri ya kwaresma!

Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni! Nilidhani kuwaona wanasiasa wanageuka waongoza ibada ndiyo ingekuwa mwisho wa kustaajabu kwangu maishani. La hasha kumbe ndo bado kabisa vituko vimeanza arif! Toka nizaliwe sijapa kuona tukio la kiibada... Read more →