Njia Mbadala ya Kupata Kazi Kiurahisi kwa Wasomi!

Na Hassan Pukey   Usomi wako unakusaidiaje? Changamoto za Ukosefu wa Ajira nchini zimekithiri kiasi kwamba wasomi wamekuwa wakitoa lawama kwa Serikali hata kwa vitu vilivyo katika uwezo wao. Tunakaa na kulalamika kuhusu mitaala ya kufundishia... Read more →