Tumejifunza nini toka Kenya?

Justice David Maraga Hivi karibuni mahama kuu ya nchini Kenya imetengua matokeo ya urais na kuagiza uchaguzi kurudiwa baada ya siku sitini kama katiba inavyoelekeza. Matokea haya ya urais yametenguliwa baada ya kuonekana kasoro mbalimbali katika... Read more →

Juu ya ubinafsishaji; Kongole Rais Magufuli!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Hivi karibuni katika ziara za Rais John Pombe Magufuli aliweka bayana namna anavyochukia ubinafsishaji wa nyenzo za uzalishaji kama ilivyofanywa na watangulizi wake. Akieleza... Read more →

Mitandao ya kijamii ni umaskini kwa Tanzania?

nembo za mitandao ya kijamii Katika miji ya Tanzania leo hii kila kona unayoenda utaona simu za mkononi zenye uwezo wa kutumia intaneti zimezagaa almaarufu kama ‘smartphone’. Kwa mujibu wa jarida la Reuters,   watumiaji wa simu za mkononi... Read more →