Je, Tanzania tuitakayo ni ipi?

  Nilipata fursa ya kusikiliza kongamano lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika lililofanyika nchini Rwanda mwaka 2014. Kongamano hilo lililoandaliwa kama sehemu ya kuazimisha mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika liliongozwa na... Read more →

Elimu haisubiri; Je watoto wetu wanajifunza?

Kupata elimu iliyo bora ni msingi wa kufikia malengo ya nchi na dunia na hatimaye kubadili maisha ya mtu na hata jamii nzima kupiga hatua bora kimaendeleo. Zipo jitihada kadha wa kadha zilizofanyika kuongeza upatikanaji wa elimu hasa ngazi ya... Read more →

Vyoo viboreshwe shule za Songea

Kufuatia habari iliyorushwa jana (Alhamisi- 8 Mei 2014) na kituo cha ITV katika habari ya Saa mbili usiku kuhusu uduni wa vyoo na ukosefu kabisa wa vyoo katika Shule ya Msingi Makambi iliyopo Manispaa ya Songea, nimeguswa kutoa rai yangu dhidi... Read more →

Aya moja tu: Elimu kufuta Ujinga?

Elimu, Elimu, Elimu, Elimu ni ya kuondoa ujinga? Au Elimu siku hizi ni ya kuongeza ujinga na wajinga? mbona wenye elimu wanazidi kuwa wajinga? wanafanya mambo ya kijinga sana, tena kuliko wale wasio na elimu tuliozoea kuwaita wajinga….. “mjinga... Read more →