Tutafakari upya demokrasia ya mfumo wa vyama vingi!

Mwalimu Julius Nyerere Tanzania ilirithi mfumo wa vyama vingi toka kwa Wakoloni. Mwaka 1964, Serikali iliyokuwa ikiongozwa na chama cha TANU iliamua kupiga marufuku mfumo wa vyama vingi na kuamua kuwa Tanzania itakuwa ni nchi ya chama kimoja.... Read more →

Je, Tanzania tuitakayo ni ipi?

  Nilipata fursa ya kusikiliza kongamano lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika lililofanyika nchini Rwanda mwaka 2014. Kongamano hilo lililoandaliwa kama sehemu ya kuazimisha mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika liliongozwa na... Read more →

Mchakato wa Uchaguzi Mkuu na mianya ya kikatiba

Serikali iliporidhia hoja ya katiba mpya na kuanzisha rasmi mchakato huo kupitia sharia ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011, wadau mbalimbali walionyesha wasiwasi wao juu ya mchakato huo kutekwa na wanasiasa kwa maana ya ushiriki pamojan na... Read more →

Kuna hoja gani kwenye afya za wagombea?

Mgombea Urais, kupitia CCM Bw. John Magufuli Mikikimiki ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ilifunguliwa rasmi tarehe 25 Agust 2015. Mpaka sasa vyama vikuu hapa nchini ikiwa ni chama tawala CCM kwa upande mmoja na Chama cha Demkrasia... Read more →

The road to 2015: the way forward!

A woman carrying a child casts her vote at a polling station (Credit to: www.voanews.com) I read the comments posted by one Ndesumbuka Merinyo on an article I wrote for this site. The piece was titled “The Road to 2015”. He wanted me to... Read more →

The road to 2015

Hon. January Makamba The race to succeed President Kikwete come 2015 when he steps down after 10 years at the helm was long underway in his party, albeit unofficially. January Makamba, a rising young politician within the ruling party made headlines... Read more →

The unclaimed prize

The Mo Ibrahim Foundation cash prize for excellence in governance for this year went unclaimed.  The same was true for 2009, 2010, and 2012. This didn’t surprise those who follow African politics with more than a passing interest; the real... Read more →

Tangu ujana wa Nyerere mpaka kupiga debe

Mwaka 1945 kijana mmoja alikuwa anakaribia kuhitimu masomo yake katika chuo Kikuu cha Makerere huko Uganda akichukua shahada ya kwanza ya Elimu iliyomruhusu kuendelea na taaluma ya ualimu mara baada ya kutoka chuo katika mwaka huo huo. Lakini... Read more →
1 2 3 4