Je, Tanzania tuitakayo ni ipi?

  Nilipata fursa ya kusikiliza kongamano lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika lililofanyika nchini Rwanda mwaka 2014. Kongamano hilo lililoandaliwa kama sehemu ya kuazimisha mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika liliongozwa na... Read more →

Vyoo viboreshwe shule za Songea

Kufuatia habari iliyorushwa jana (Alhamisi- 8 Mei 2014) na kituo cha ITV katika habari ya Saa mbili usiku kuhusu uduni wa vyoo na ukosefu kabisa wa vyoo katika Shule ya Msingi Makambi iliyopo Manispaa ya Songea, nimeguswa kutoa rai yangu dhidi... Read more →

Upande wa Pili wa Operesheni Tokomeza!

Utangulizi Kuna tofauti kati ya maneno KWELI na U-KWELI ingawa maneno haya yanatumika mara nyingi kumaanisha kitu kimoja. Kweli inaweza kuwa na ukweli zaidi ya mmoja. Kila mtu anaweza kuwa na ukweli wake juu ya kweli moja. Kilicho kweli ni kuwa... Read more →

The unclaimed prize

The Mo Ibrahim Foundation cash prize for excellence in governance for this year went unclaimed.  The same was true for 2009, 2010, and 2012. This didn’t surprise those who follow African politics with more than a passing interest; the real... Read more →

Unanijua mimi? Usinichezee

Hivi majuzi tu nilikuwa safarini kutoka Shinyanga kurudi Dar es Salaam. Nilikuwa ndani ya basi kwa safari ya tangu saa 12 alfajiri, safari ndefu sana mpaka kufika kwenye ‘jiji la tanuru’ ambako joto na vumbi ni ndugu wa kale wasiochana kama... Read more →

“FAILED STATES”: Another elaborate joke

Foreign magazine’s Failed States Index for 2013 is out, itself a failure in many ways. This very ambiguous and subjective concept owes its origin to the chaos that engulfed the world as the dust was settling following the decline of the Soviet... Read more →

Tunataka kutawala ufuni pamoja tukiwa na hadhi zetu

Yaani kuna watu wanapenda sana kulalamika na kulaumu. Kila siku wao wanalalamika tu, wanakosoa tu, wanalaumu tu mpaka mwishowe wanakosa cha kukosoa. Siku wakipata la kusifia watasifia sifa zinazofanana na kukosoa. Bahati mbaya wanaokosolewa... Read more →

Hata kengele za hatari zikipuuzwa hugeuka kelele tu!

Ndani ya kipindi cha miaka kumi iliyopita tumekuwa tukisikia mara kwa mara kauli na matokeo ya tafiti zenye kuonyesha kuota mizizi kwa tabia za kutoa na kupokea rushwa.  Licha ya kukemewa,   tafiti bado zinatuarifu kuwa rushwa ni tatizo zito... Read more →
1 2