Aya moja tu!

Vijana na Ujana ni wakati ungali kijana. Ndiyo, watakiwa kujijua u kijana. na ufanye mambo ya vijana wakati wa ujana. Haijalishi utatumia ujuzi kiasi gani kukamilisha ujana. Usisitize kuungana na kushirikiana. Na sio kugombana wala fitna. Ama... Read more →

I paralyzed the paralysis

How scary was the paralysis? That now bows before the mass With shame I have made it confess That I paralyzed the paralysis   How scary was your face to us The poor people without a mess Loyal and determined to our course I’m proud that... Read more →

Utata

Tulipewa bila kuomba Wa thamani, hauhitaji hata kuremba Ajabu! Twaugawa Kama mitumba Kamaradi, yatoka wapi hii kasumba?   Tunakopa wakati mororo Tunalipa wakati wa mdororo Tunajipongeza kwa kasoro Angali tunaukaza mnyororo   Wanatucheka... Read more →

Maskini ana mtaji?

“Mtaji wa maskini ni nguvu zake” miongoni mwa misemo maarufu za lugha ya Kiswahili. Lakini umewahi kujiuliza upi mtaji wa tajiri?. Hii inatokana na wasiwasi niliokuwa nao kama kweli maskini hufaidika kadri ya nguvu anazotumia katika kuzalisha. Lakini... Read more →

Common sense is never common!

Every human being is born with the sense of brain that enables one to know the good and the bad. Humans are not born tabula rasa. They are born with certain knowledge of life. This knowledge is what is known universally as common sense. However... Read more →

Unbowed-Wangari Maathai

I slept and dreamt, Of the greenest Earth, I awoke and felt, The prevailing dearth I dreamt of trees, Then woke up to plant them Stung by political bees, But soldiered on; devoid of shame Now that I’m gone, Of more trees do plant, Here;... Read more →

Bila wajibu

Wanazuoni wamefunza Sio sasa, hata kwanza Ajabu, majibu tunatunza Ila wajibu, wageni tunawatuza I-wapi thamani ya fikra Pasi na utekelezaji wenye kutia fora Hakika, sisi sio wa fikra mafukara Tumeuza wajibu, sawa na kura Naona pengo kati ya... Read more →

Kwanini tumshukuru Mungu?

Ukiangalia miujiza ya Mungu juu ya uumbaji wake utastaajabu makuu yake. Tazama kaumba  bahari, anga, jua,  mwezi na nyota, mito, maziwa, wanyama wa porini na ndege wa angani. Vyote hakika ni ukuu na utukufu wake. Kubwa kabisa ni upendo wa... Read more →

Of CCM economic supremacy and Jamaican squad

In the last 2010 General Election, political parties accused each other of illegal trained squad. The rationale given by the well established CCM was that, it is for security reasons during campaigns against the assumed “opponents”. The... Read more →
1 19 20 21 22 23