Tukomeshe ukatili huu dhidi ya wanawake

Mwanamke ni nguzo kubwa na muhimu sana katika maisha na maendeleo ya mtu binasfi, jamii na taifa kwa ujumla. Mwanamke ndio nguzo mama katika uzalishaji na ujenzi wa taifa katika kuongeza rasilimali watu na pato la taifa katika nyanja za uchumi... Read more →

Aya moja tu: Elimu kufuta Ujinga?

Elimu, Elimu, Elimu, Elimu ni ya kuondoa ujinga? Au Elimu siku hizi ni ya kuongeza ujinga na wajinga? mbona wenye elimu wanazidi kuwa wajinga? wanafanya mambo ya kijinga sana, tena kuliko wale wasio na elimu tuliozoea kuwaita wajinga….. “mjinga... Read more →

Corruption with a futile Tanzania’s independence

Tanganyika will be marking its 50th anniversary since independence. It is a golden jubilee that will be celebrated on the 9th Dec It is here referred to the independence of Tanganyika since speaking of Tanzania is something else that entails... Read more →

Bado tumsome Karl Marx?

Je machapisho ya Karl Marx yapo kwa wingi? Nyakati hizi za mfumo wa ubepari na ubeberu katika sura yake ya uliberali mambo leo? Tusimsome katika taifa ambalo wanyonge na watu wa kipato duni wamepoteza matumaini? Kwa hakika huku kwetu mifumo... Read more →

Mgema

Daima tumeufahamu, Wa mgema utaalamu, Toka Kilwa hata Lamu, Kugema ndiyo yake kalamu.   Mgema sawa na kiongozi, Wote hufanya “utatuzi”, Kulegeza au kuukaza uzi, Ilimradi ufumbuzi.   Hakika, mgema “huzeeka”, Na kurithisha uhusika, Nasikitika! Hata... Read more →

Aya moja tu: Anazungumza nae?

Unazungumza nae? Nakuuliza unazungumza nae? Unashangaa kama hunielewi….!! Nakuuliza wewe mwenye mashati lukuki, tai lukuki, suruali lukuki, na viatu lukuki, unazungumza na yule mwenye shati moja!? Sio moja tu, bali chafu, limechanika na kuchakaa... Read more →
1 17 18 19 20 21 22