Kulikoni watanzania?

Hatufikirii kujikwamua tulipokwama na tumeanza kutoelewana baada ya miaka hamsini ya kujitawala. Siasa zetu hazina kichwa wala miguu! kwetu uzoefu wa kujitawala umetulegeza badala ya kutukomaza hatufanyi vizuri kwenye lolote si elimu wala michezo! Mitaani... Read more →

2014: Serikali za mitaa kutuacha kwenye mataa?

Kila mmoja anatazamia 2015, Uchaguzi mkuu baada ya miaka mitano, Mateso, misoto na mingi mivutano, 2014: SERIKALI ZA MITAA KUTUACHA KWENYE MATAA? Wakati muafaka unakaribia, Tukikosea kuchagua basi tumejiharibia, Tusidanganyike kwa kitimoto... Read more →

SINGLE WORD

A single word Twelve letters Strong as it portrays Deeper than the oceans Small as it is Now has become a song   A song sang by all Educate and non Young ones and elders Activists and workers   A single word to protect and serve For... Read more →

Aya Moja!

Ukikaa ukijiuliza, Mwishowe utajiumiza, Utaanza kujiliza, Machungu kupunguza, Ukweli kupuuza, Kwamba Katiba, Zigo la miiba!!   Wengine wanaitaka, Wengine wanaibaka, Wengine wanaisaka, Na vyake viraka, Usipoelewa waingia chaka, Kwani Katiba, Zigo... Read more →

Tukomeshe ukatili huu dhidi ya wanawake

Mwanamke ni nguzo kubwa na muhimu sana katika maisha na maendeleo ya mtu binasfi, jamii na taifa kwa ujumla. Mwanamke ndio nguzo mama katika uzalishaji na ujenzi wa taifa katika kuongeza rasilimali watu na pato la taifa katika nyanja za uchumi... Read more →
1 2 3