Nipeni tena Kalamu, Nisome

Kijiji chetu Kandokando. Nyumba na shule ni Mwendo. Njiani kusonga na Mwendo. Nipeni tena kalamu, Nisome. Juma,Ali kuweka ndoano. Ulaghai si wa Mfano. Ndoto zangu  mkingamo. Nipeni tena kalamu, Nisome Magufuli naye kanena. Elimu... Read more →

KONA YA USHAIRI: “DAKTARI”

              Daktari! Daktari ameTulia hajaTulia? Wajameni, lipi jibu sawia? Akili kede si shaka amejaaliwa Mihemko tele hakika amejaliwa… Mwa vijana Dkt ametwaliwa Kuhakikisha hoja zetu kubaniwa… Mbobezi... Read more →

Natafuta habari

Bado nahangaika, Bado ninazunguka, Hadi kiatu kinabanduka, Natafuta habari. Nimesikia habari, Namuuliza askari, Anasema hana habari, Natafutaa habari. Kama mwandishi, Napita njia hatarishi, Hadi kwenye kambi za jeshi, Nikitafuta habari. Nishawahi... Read more →

AYA MOJA: Vazi la Taifa li wapi?

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akipokea ripoti ya Kamati ya Vazi la Taifa Nchi ‘siyo tamaduni, basi imekufa, Haijui ‘tavaa nini, basi ni ulofa, Haijui vazi gani, liwe la taifa, Tuelezeni, vazi la taifa... Read more →

AYA MOJA: Dengue ndo pacha wa malaria?

Mara homa kali, Mara joto kali, Mara maumivu makali, dengue, ndo pacha wa malaria? Twaambiwa dawaye panadoli, Yani homa kali unatibu kwa panadoli? Au ndo mwatugeuza sie midoli? Dengue,ndo pacha wa malaria? Dalili ni kama za malaria, kuenezwa... Read more →

AYA MOJA: Meli imekosa dira

“Nahodha ongeza mwendoooo” abiria wanashangilia, Meli inapoenda hawapajui wasije wakalia, Hii meli yetu nzuri kila mtu anaifagilia, Ila ina matatizo kibao nitakusimulia, Kwanza haijulikani inatumia dira gani, Mara inaenda kusini... Read more →

Mlioingia kwenye mabaraza msiende kubarizi!

“La Mgambo, La mgambo!” mbiu ikalizwa, Kwa makeke jipembe likapulizwa, Kijiji kikaamka likasikilizwa, Likalia siku nzima bila kukatizwa, Ha!kumbe ni suala zima la katiba, Wananchi watoe maoni kupata mpya katiba, Lakini wengine wakawa... Read more →

Unaogopa sauti yangu?

Kwani ni nani aliekuambia kua sauti yako inaweza kutusemea sote? Au ni unyororo wake unaokufanya ufikirie mimi ni mdhaifu? Unaogopa maumbile yangu? Unono wa kifua changu, na upana wa nyonga yangu? Hata kwa mtazamo naonekana shupavu, Ushujaa... Read more →