Yuda kipenzi changu, waniangusha

Alikuja kwangu mchana kweupe.Mikono kaifumbata nyuma, kwa unyenyekevu mwingi.Mwendo wake taratibu.Kanikuta nimechakaa, nimechakazwa na kazi za shamba.Jasho lanivuja na uchovu wenye kuudhi. Nakumbuka, tena ni mchana wa jua kali siku ya alhamisi.... Read more →
1 19 20 21