Karibuni tena!

Asante kwa kufungua tena wavuti huu pendwa, tunatambua imekuwa muda sasa bila kusikia ama kuona makala nzuri za waandishi wachanga na wakongwe kutoka kwetu. Hakika wasimamizi, waandishi na wadau mbalimbali wa wavuti hii walikuwa na hamu kuu... Read more →

Njia Mbadala ya Kupata Kazi Kiurahisi kwa Wasomi!

Na Hassan Pukey   Usomi wako unakusaidiaje? Changamoto za Ukosefu wa Ajira nchini zimekithiri kiasi kwamba wasomi wamekuwa wakitoa lawama kwa Serikali hata kwa vitu vilivyo katika uwezo wao. Tunakaa na kulalamika kuhusu mitaala ya kufundishia... Read more →

Mitandao ya kijamii ni umaskini kwa Tanzania?

nembo za mitandao ya kijamii Katika miji ya Tanzania leo hii kila kona unayoenda utaona simu za mkononi zenye uwezo wa kutumia intaneti zimezagaa almaarufu kama ‘smartphone’. Kwa mujibu wa jarida la Reuters,   watumiaji wa simu za mkononi... Read more →

The Little White Lie

Someone once said that honesty is the best policy, and I might also add the other drunk who said the truth shall set you free. In an ideal world this is very true but what about in this pragmatic world that we live in? can we handle the truth?... Read more →

Mchakato wa Uchaguzi Mkuu na mianya ya kikatiba

Serikali iliporidhia hoja ya katiba mpya na kuanzisha rasmi mchakato huo kupitia sharia ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011, wadau mbalimbali walionyesha wasiwasi wao juu ya mchakato huo kutekwa na wanasiasa kwa maana ya ushiriki pamojan na... Read more →

Kuna hoja gani kwenye afya za wagombea?

Mgombea Urais, kupitia CCM Bw. John Magufuli Mikikimiki ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ilifunguliwa rasmi tarehe 25 Agust 2015. Mpaka sasa vyama vikuu hapa nchini ikiwa ni chama tawala CCM kwa upande mmoja na Chama cha Demkrasia... Read more →
1 2 3 4 5 18