Riwaya ya Kizungumkuti: Sura ya 12

Dar es Salaam  Jumapili, Juni 8, 2003   Maulid hakuwa ameonana na dada yake kwa muda wa siku mbili.  Hii ilitokana na yeye kuwa nyumbani kwa akina Ali pindi Ali alipokuwa safarini Iringa.  Alipomaliza shughuli za usafi na kufungua kinywa,... Read more →

Riwaya ya Kizungumkuti: Sura ya 11

Iringa  Jumapili, Juni 8, 2003     “Mwaaah!” “Nakupenda sana Ali” “Nakupenda sana Hafsa.” “Najisikia raha sana kuwa nawe hapa.  Unajua Ali nilikumiss vibaya mno.” “Nami nilikumiss pia honey.” “Nimeufurahia... Read more →

Riwaya ya Kizungumkuti: Sura ya kumi

Dar es Salaam Alhamisi, Juni 5, 2003     “Mambo?” “Poa tu Atu.  Nipe stori best.” “Sina stori best.  Nilitaka tu kufahamu tunakutania wapi?” “Basi tukutane hapo Sugar Rays” “Poa.  Basi usichelewe.” Baada ya... Read more →

Riwaya ya Kizungumkuti: Sura ya Tisa

Iringa  Jumatano, Juni 4, 2003   Benito aliwasili mjini Iringa akiwa na matumaini tele.  Alipokuwa akipanga safari ya Iringa, alifanya mawasiliano na msichana mmoja, Johari.  Benito na Johari wana historia ndefu ya kufahamiana tangia... Read more →

Riwaya ya Kizungumkuti: Sura ya nane

Iringa Alhamisi, Juni 5, 2003 Hafsa hakuwa na kipindi cha kufundisha darasani.  Akawa ameamua kushinda pale nyumbani.  Asubuhi mnamo wa saa mbili na nusu akapokea ujumbe mfupi kutoka kwa Johari.  Johari alimlaumu kwa kwa kitendo cha kumdanganya... Read more →

Riwaya ya Kizungumkuti: Sura ya Saba

Iringa Jumatano, Juni 4, 2003     Yakiwa yametimu majuma manne kamili tangu Hafsa awasili mjini Iringa, habari za Benito zilianza kutomwumiza kichwa sana.  Ilikuwa ni siku ya Jumatano, nyakati za jioni, Hafsa alijipumzisha nyumbani... Read more →

Riwaya ya Kizungumkuti: Sura ya sita

Dar es Salaam  Ijumaa Mei 9, 2003     “Ee bwana natoka mara moja.  Hadi saa tano hivi nitakuwa nimerudi.” “Mshikaji mbona misele yako siku hizi imekuwa mingi sana?” “Natafuta mke bwana.” “Masikhara hayo Ben!”  Wote wakaangua... Read more →

Riwaya ya Kizungumkuti: Sura ya tano

Dar es Salaam Jumatatu, Mei 5, 2003     Takribani mwezi sasa ulikwishatimu tokea Ali akutane na Benito.  Ali akawa katika maandalizi kwa safari ya Hong Kong kufunga bidhaa.  Ilikuwa ni siku ya Jumatatu huku yeye akitarajia kuondoka siku... Read more →

Riwaya ya Kizungumkuti: Sura nne

Dar es Salaam Jumatatu, Mei 5, 2003     Ndiyo kwanza wanafunzi wa kidato cha sita walikuwa wametoka kwenye mtihani wao wa kwanza ambao ulikuwa ni General Studies .  Ilikuwa ni dakika kadhaa zimeondoka baada ya saa tano kamili ya... Read more →

Riwaya ya Kizungumkuti: Sura tatu

Dar es Salaam Jumatano, Aprili 9, 2003     “Nami nafurahi sana kukutana nawe.” “Dah!  Hata siamini!” “Ndivyo hivyo Ali, kwa bahati mbaya tumekutana wakati mbaya.” “Hapana Atu, ni kama muujiza kukutana nawe leo.” “Wakati... Read more →